State House Blog

Dk.Magufuli amekabidhiwa Uwenyekiti wa Sadc.

  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wajamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Maraius Wastaaf wa Tanzania na Zanzibar wa kwanza kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Herbert Kijazi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe,Dkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaaf waTanzania. Mhe.Benjamin Mkapa, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Namibia Mhe. Dkt. Hage Geingob Mwenyekiti wa SADC, anayemaliza muda wake akihutubia katika mkutano wa 39 wa SADC kabla ya kumkabidhi Mwenyekiti Mpya wa SADC Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Magufuli, uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • MARAIS wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC wakiwa wamesimama wakatri wa kupigwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uluiofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamerd Shein Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na viongozi wengine mbali mbali wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,wakati wa ufunguzi wa mkutano huo na kukabidhiwa Uwenyekiti wa SADC.
  • VIONGOZI wa Serikali kutoka kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman MakunguRais Mstaa wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Amani Karume, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania Balozi John Kijazi, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Baraza la Eld el-Hajj

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi (A) Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL-HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
  • Baadhi ya Viongozi na Mawaziri wanawake pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la Kikosi cha Polisi cha FFU mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni kuhudhuria sherehe ya Baraza la EID- EL- HAJJ 2019.
  • Baadhi ya Viongozi pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID-EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama samia Suluhu Hassan pamoja Viongozi wengine wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kuwahutubia wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi ("A") Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Miongoni mwa Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika Sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
  • Askari wa Kikosi cha Polisi FFU Makamo Makuu Zanzibar wakitoa salamu ya Heshma ya gwaride maalum kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi

Dk. Shein ameongoza waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid el hajj.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mshauri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Abdalla Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Kampasi ya Bertras, kuhudhuria Sala ya Eid El Hajj.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Ali Mohamed Shein,akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja Chuo Cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertars Wilaya ya Magharibi A Unguja,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Hajj katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi Unguyja ikisomwa na Sheikh Tawaha Huein Twaha baada ya kumalizika kwa Sala hiyo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa Dini na Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi Dhamana wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Sheikh Othman Haji Chum
  • Kadhi dhamana wa Wiliya ya Magharibi "A" Unguja Sheikh Othman Haji Chum akisoma dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Magharibi A Unguja katika ukumbi wa Ikulu Ndogio Kibweni Zanzibar Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
  • Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi A Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua ikisoma na Kadhi wa Rufaa Kisiwani Pemba Sheikh Daud Khamis Salum, baada ya kumalizika hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Kibweni
  • Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid El Hajj katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja

Dk.Shein amekutana na Mwakilishi wa Unesco.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha (kushoto) Mathias F.H.Luhanya.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha

Dk.Shein amefunga Mkutano wa wiki ya nne ya viwanda ya Sadc.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akicheza bao wakati atembelelea maonesho ya Wiki ya Nne ya Viwanda ya SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Julius Nyerere.Jijini Dar es Salaam
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Bishara ya Shirika la Air Tanzania Ndg. Patrick .W. Ndekama, alipokuwa akitembelea banda la maonesho la Air Tanzania katika viwanja vya Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa maonesho hayo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa wa ZSTC Ndg. Issa Hamad Ramadhani alipotembelea maonesho ya Wiki ya Nne ya Viwanda ya SADC Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa TRC Bi. Jamila Mbarouk alipotembelea banda la maonesho katika viwanja vya Kulius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • KATIBU Mkuu wa SADC Mhe. Dr.Stergomena Tax, wakati wa ufungajin wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Maonesho ya Viwanda ya SADC leo Jijini Dar es Salaam.yaliofanyika katika ukumbi wa Juluis Nyerere.
  • Kaimu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa mkutano wa Ufungaji wa Wiki ya Nne ya Maonesho ya Viwanda ya SADC Jijini Dares Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na SADC WAakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.