Dk.Shein amehudhuria maadhimisho ya miaka 107 ya Skauti katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
Rais wa ZAnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Skauti kushoto Halima Ali Makame na kulia Lutfia Juma Ali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililotayarishwa kwa ajili ya kuyapokea maandamano ya Vijana wa Skauti Tanzania katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar kushoto Mkuu wa Skauti Tanzania Mhe.Mwatumu Mahiza na Kiongozi wa Skauti Bi. Amina Clement Edward na kulia Makamu wa Rais wa Chama cha Skauti na Waziri wa Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea gwaride Maalum la Vijana wa Skauti Tanzania kuadhimisha Miaka 107 zilizofanyika katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa maadhimisho ya Miaka 1-7 ya Skauti Tanzania ziulizofanyika katika viwanja vya Maisara Suluiman, akimsikiliza Kijana Jaffar Mohammed, akitowa maelezo ya michuro ya ramani ya Tanzania
MKUU wa Skauti Tanzania Mhe Mwamtumu Mahiza akizungumza na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
WAGENI Waalikwa na Vijana wa Skauti Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania.
MAKAMU wa Rais wa Chama Cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ,akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuhutubia hadhara hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Sakauti Tanzania zilizofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed GharibBilal na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hayuko pichani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
VIJANA wa Skauti wakitowa heshima wakati ukipigwa wimbo wa Taifa
Vijana wa Skauti Tanzania wakipita kwa ukakamavu kwa mgeni Raism Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Ndg. Alois Zengwe akitowa maelezo ya Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Skauti kutimiza Miaka 107 Tanzania tangu kuazishwa kwake kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Alali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika kataifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimvisha Nishani Mlezi wa Skauti Tanzania Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Sjauti Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Rais Mstaaf wa Tanzania Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi baada ya kukakabidhi Nishani Maalum ilioyotewa na Skauti Tannzania, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Skauti Mkuu Mhe. Mwatumu Mahiza, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti, zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo nma Nishani Makamu wa Rais wa Chama Cha Skauti Tanzania Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Rais Mstaaf wa Tanzania Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi baada ya kukakabidhi Nishani Maalum ilioyotewa na Skauti Tannzania, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Maalum ya Skauti Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti.
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti yalioadhimishwa Kitaifa viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hasaan Mwinyi na kulia Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal na kushoto Skauti Mkuu Mhe. Mwatumu Mahiza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, na Marais Wastaaf na Viongozi na Wawakilishi waliopokea Tunzo kwa niaba, wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya maadhimisho katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
Dk.Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar, alipowasili kuhudhuria Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Hamad Mberwa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kokao cha Kamati Maalu ya CCM Zanzibar
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Afiki Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Pili wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mwalimu Kombo, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar uliofanyikia Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afiri Kuu ya CCM Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kufungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana naMjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar
Dk.Shein amemuapisha Mkuu wa KVZ Zanzibar Major Said Ali Juma Shamhuna.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibare KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
MKUU Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna akipitia Hati ya kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,baada ya kumaliza kuapa hafla hiyo imefanyika Ikulu.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akimsalimia na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumaliza hafla hiyo leo Ikulu Zanzibar.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyila leo Ikulu Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanziubar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Bara la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said na Viongozi wengine wa Sereikali wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika 21-6-2019 Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza hafla ya kumuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amezungumza na ujumbe wa Taasisi ya L-Hikma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam Sheikh Nurdin Muhammed Ahmed Kishki, alipofika IKulu Zanzibar kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Al-Hikma Fundation ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo kulia Sheikh Nurdin Muhammed Ahmed Kishki, Sheikh Suleiman Khamis Habib,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,hayuko pichani baada ya kumaliza mazunguymzo na Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Saalam ukiongonzwa na Mkurugenzi Mkuu Sheikh.Nurdin Muhammed Ahmed Kishki kulia Sheikh Suleiman Khamis Babib na Mussa Rajab Mushi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Mwenyekiti wa Usalama na Itifaki na Mnadhimu Mkuu wa Al Hikma Fundation Sheikh Suleiman Khamis Habib, akitowa maelezo kuhusiana na Taasisi yao wakati wa mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam waliokaa kutoka kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Sheikh Nurdin Kishki, Sheikh. Suleiman Khamis Habib na Sheikh.Omar Hussein Mussa na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Katibu Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh Fadhil Soraga na Mussa Rajab Mushi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa BLM DK Ali Mohamed Shein ametoa Mkono wa Eld Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Zanzibar kumsalimia leo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisarac Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu Zanzibar baada ya kumaliziuka kwa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman,kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga baada hafla hiyo ikulu Zanzibar.
WANANCHI wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kupokea Mkono wa Eid Fitry leo, baada ya kumalizika kwa mfungi wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
WANANCHI wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kupokea Mkono wa Eid Fitry leo, baada ya kumalizika kwa mfungi wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa Mkono wa Eid Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa Mkono wa Eid Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana Mkewe Mama Mwanamwema Shein, katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana na wananchi waliofika katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akimsalimia Mama Fatma Karume katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, baada ya kumalizika Baraza la Eid Fitry.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana na wananchi waliofika katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika viwanja vya Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar