Baraza la Idd el Fitri.
Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,Rais akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi FFU leo mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Askari wa Kikosi cha Polisi (FFU) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wakiangalia vitabu na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza na kuangalia Vitabu vya Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ili kuzungumza na Wananchi na Viongozi katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni katka kusherehekea Sikukuu ya Eid baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakichukua chakula baada ya sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na wananchi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Swala ya Eidel Filtri uwanja wa Maisara Suleiman mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar .
Wananchi na Waisalamu mbali mbali wakijumuika na Viongozi katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tano kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Wananchi wakisikiliza Hotuba ya baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyotolewa na Sheikh Khalid Ali Mfaume leo katika katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar baada ya Idaba ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waislamu Wanawake wakijumuika pamoja katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Dk.Shein awafutarisha wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi Suleiman (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe.Rashid hadid Rashid mara baada ya Swala ya Magharibi jana kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chakechake Wilaya ya Chake chake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba jana katika Futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chakechake Wilaya ya Chake chake (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Mashekhe wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya Zanzibar.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake,Wilaya ya Chakechake ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman akitoa Shukurani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa ushiriki wa Wananchi wa Mkoa huo katika Futari aliyoiandaa katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani katika futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa eneo hilo akiwa katika utaratibu wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni jana katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkanyageni katika Swala ya Mgaharibi kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa eneo hilo katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kufutarisha kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Viongozi Wanawake katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Bi.Mauwa Abeid Daftari na Mshauri wa Rais Mambo ya Jamii Bi Zainab Omar Mohamed.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkowa Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali katika Futari aliyoiandaa kwa Wananchi wa Mkanyageni katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Wananchi wa Jimbomla Mkanyageni wakisubi wakati wa Swala ya Magharibi jana katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba.
Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa shukurani na kuomba dua kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni jana baada ya Futari uiliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Dk.Shein awafutarisha wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Swala ya Magharibi Iliyoswalishwa na Sheikh Ukasha Hijja Shariff (mbele) kabla ya Futari aliyoiandaa katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar,(kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa (wa pili kulia) na Mzee Haji Nasibu Nyanya (kulia).
Sheikh Omar Hamad (kushoto) alipokuwa akitoa Shukurani kwa Niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman akitoa Shukurani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa ushiriki wao wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni,Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi baada ya kumaliza kwa Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja na Viongozi wengine waliojumuika katika Futari aliyowaandalia Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Benk ya PBZ wafutarisha.
Rais wa Zanzibar *na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed alipofika katika viwanja vya Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipohudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya (PBZ) Nd,Juma Ameir Hafidh alipofika katika viwanja vya Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipohudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi kabla ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) hafla iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo kila mwaka Benki hii Wanawafutarisha wananchi mbali mbali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Nd,Juma Ameir Hafidh (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakichukua chakula cha Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakichukua chakula cha Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mji
Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) hafla iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo kila mwaka Benki hii Wanawafutarisha wananchi mbali mbali.