State House Blog

Dk.Shein,amezungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, kushoto Bwa, He.Liehui, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.wakiwa katika mazungumzo hayo Ikulu Zanzibar 8-3-2019
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo,8-3-2019,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, wakitoka katika ukumbi Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China Bwa, He.Liehui 8-3-2019.

Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya kiapo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohamed Said.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar.Mhe. Khamis Juma Mwalim, baada ya kula kiapo,Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, hafla hiyo imefanyika Ikulu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya hafla hiyo iuliofanytika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kilimo,Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Ncho Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg. Yakout Hassan Yakout
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Katiba na Sheria.Mhe. Khamis Juma Mwalim, hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Dini wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu waliowachagua hivi karibuni
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Nainu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe.Simai Mohammed Said, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba, Maji na Nishati. Ndg. Salhina Ameir Mwita, hafla hiyi imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba na Sheria Ndg Goerg Joseph Kazi, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, anayeshuhulikia Masuala ua Uvuvi na Mifugo Dr.Omar Ali Amir Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar anayeshughulikia Masuala ya Mifugo na Uvuvi Dr.Omar Ali Amir Ikulu Mjini zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi.Mansura Misi Kassim, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg Seif Shaban Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Ussi Gavu na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Omar Saleh Kabi,waliosimama nyumba ni Mawaziri aliowaapisha Ikulu Zanzibar.

Dk.Shein,amezungumza na Naibu Wazir wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar.

Dk.Shein amefungua Barabara na kituo cha Afya Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya,uzinduzi huo umefanyika akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mwaboya.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakitembelea barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Kuyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo Kisiwani Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembeleac Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kukifungua rasmin leo akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr.Mohammed Faki Saleh, akiwa katika moja ya vyamba vya Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake baada ya kukifungua Kituo hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ardhi Maji, Nishati na Makaazi.Mhe.Salama Aboud Talib.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Mama Mwanamwema Shein,wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr,Mohammed Faki Saleh akitowa maerlezo kabla ya kuweka jiwe la msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni.

Dk.Shein amefungua Jengo la Skuli ya Sekondari ya Michezani Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.kulia kwa Rais Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba, leo akiwa katika ziara yake kulia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati hafla ya Uzinduzi wa Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, akiwa katika ziara yake kutembelea Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba kuangalia miradi ya Maendeleo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein , na kulia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, wakisoma maelezo ya jiwe la msingi la Skuli ya Sekongari ya Michezani baada ya ufunguzi wake
  • NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Bi. Madina Mjaka,akitowa Taarifa ya Kitaalam ya ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakati wa hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. hayuko picha wakati wa hafla ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezo baada ya kumaliza kusoma Quran Surat Afaq Mwanafunzi Salim Shehe Hussein, kulia kwa Rais Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Michezani Pemba
  • VIONGOZI wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Alim Mohamed Shein,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezani Kisiwani Pemba leo akiwa katika ziara yake, kutembelea Miradi ya Maendelo.
  • BAADHI ya Viti na Meza Mpya vilivyoagizwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ajili ya Skuli za Sekondari na Msingi Zanzibar,tayari vimeshagawiwa kwa Skuli za Sekondari za Unguja na Pemba, kwa ajili ya matumizi ya Wanafunzi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein,wakimsikiliza Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe.Said Soud, akizungumza wakiwa katika ziara ya kutembelea maeneo ya uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi,kushoto na mwa mwisho Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Othman,akitowa maelezo ya moja eneo la uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akimuonesha aina ya mchanga unaochimbwa katika shimo hilo wakati wa ziara yake Wilaya ya Wete Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika eneo la moja ya mashimo ya uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara ya Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kisasa la Mikutano la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Jengo Jipya la Kisasa la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba kulifungua na Kuweka Jiwe la Msingi la jengo hilo
  • JENGO Jipya la Mikutano la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba lililofunguliwa na na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa CCM na Serikali wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka,alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Halmashauri ya Micheweni Pemba akiwa katika ziara yake Wilaya ya Micheweni
  • KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Bi. Radhia Rashid Haroub akitowa taarifa ya kiufundi ya ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,katika Wilaya ya Micheweni
  • VIONGOZI wa CCM Wilaya ya Micheweni Pemba wakiwa wamesimama wakati wa Mkutano wa CCM na Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Micheweni Pemba
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Katibu wa CCM Wilaya ya Michewni Ndg. Hassan Khatb Hassan,baada ya kumkabidhi ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za CCM za Wilaya wakati wa mkutano wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdallah Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni,wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake katika Wilaya hiyo.
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano na Viongozi wa CCM Wilaya ya Micheweni Pemba,uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweniu,katika hitimisho la ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wiala hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti ya CCM Zanzibar, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Micheweni wakati wa mkutano wake wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza wakati mkutano wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika uykumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake uliofanyika ukumbi mpya wa Halmashari ya Wilaya ya Micheweni Pemba
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mojhamed Shein, akizungumza na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Wete Pemba wakati wa mkutano wa majumuisho wa ziara yake katika Wilaya Wete uliofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba