State House Blog

Dk.Shein amewasili Kisiwani Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba,jioni kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali kwa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba inayotarajiwa kuaza kesho.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Chake chake Kisiwani Pemba jioni, kwa ajili ya Ziara yake ya Kiserikali inayotarajiwa kuaza kesho kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Dk.Shein amemaliza ziara yake Wilaya yan Kusini Unguja.

  • Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kimzimkazi Wilaya ya Kusini Unguja
  • Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idrisa Kitwana akikabidhi Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Wilaya ya Kusini kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa Majumuisho ya ziara yake uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Unguja
  • Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Hafidh Hamad Mkadam,akiwakilisha Ripoti ya Utekeleza ya Kazi za CCM za Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya hiyo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Ripoti ya Utekelezaji ya CCM Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katikia Wilaya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa na Serikali wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegombaka' wakati wa hafla ya Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusuini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja Mkoa wa Kusini.
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Residence Kizimkazi wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegomboka' wakati wa mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Kusini Unguja
  • Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Wilaya ya Kusini Unguja uliofanyika katiuka ukumbi wa hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar(ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji akitowa maelezo ya uimarishaji wa huduma ya Maji Safi na Salama katika Miradi ya Usambazaji wa Maji katika Wilaya ya Kusini Unguja unavyotekelezwa na ZAWA kwa Wananchi wa Wilaya hiyo, wakati wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja wakati kuhitimisha ziara hiyo katika Wilaya ya Kati Unguja.
  • Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idirisa Kitwana,akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Kazi za Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake huo baada ya kumaliza ziara yake katika Wilaya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi

Dk.Shein ameendelea na ziara yake Wilaya ya Kati Unguja.

  • BAADHI ya Wananchi na Viongozi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,hayuko picha, akiwahutubia wakatin wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Unguja
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi,akizungumza wakati wa mkutanio huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • VIONGOZI wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Coconut Tree Marumbi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisoma Taarifa ya Utekrelezaji ya Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi Mashavu Said Sukwa, baada ya kuiwakilisha, wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
  • VIONGOZI wa CCM wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati Unguja, katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
  • MKUU wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Mashavu Said Sukwa, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Wilaya wakati wa Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
  • WANANCHI wa Kisiwa cha Uzi, wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia katika viwanja vya mpira Uzi, akiwa katika ziara yakje Wilaya ya Kati Jimbo la Tunguu Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Maandalizi na Msingi Ng'ambwa.
  • KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja Bi, Salma Omar Said, akiwasilisha Taarifa ya Chama ya Utekelezaji wa Kazi zake wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja.

Uzinduzi wa skuli ya Kijini Matemwe Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wizara ya Elimu alipowasi katika viwanja vya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A'Unguja akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiri kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kazkiazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake kutewmbelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Program Meneja wa Africa Foundation ya Hoteli ya Mnemba Ndg. Mkomeni Erinest Mgono, Taasisi hiyo imejenga majengo ya mabanda manne kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kijini,alipowasili katika viwanja vya majengo ya Skuli hiyo kuweka jiwe la Msingi akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua Madaraza ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ka Skazini 'A' akishuhudua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuonesha Ilani ya CCM, wakati ufunguzi wa Madarasa ya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja

Dk.Shein amezungumza na Profesa Biang Yuhong Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wataalam wa Utafiti wa Dawa za Asili ukiongozwa na Profesa Yuhong Biang kutoka Nchini China,Mtafiti kutoka Kenya, Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ya Afya Zanzibar. Dr. Mayassa. S.Ally.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Dawa za Asili kutoka Nchini China Profesa Yuhong Biang, alipofika Ikulu Zanzibar kushoto Mtafiti wa Dawa za Asili kutoka Kenya Ndg. Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya Zanzibar Dr. Mayassa .S.Ally, wakifuatilia mazungumzo hayo.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Wataalam wa Utafiti wa Dawa za Asili ukiongozwa na Profesa Yuhong Biang kutoka Nchini China,Mtafiti kutoka Kenya, Siambi Kikete na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ya Afya Zanzibar. Dr. Mayassa.S.Ally.