Uzinduzi wa Pasipoti mpya ya Kieletronikia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe.Mwigulu Lameck Nchemba, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Idara ya Uhamiaji Kurasini Jijinin Dar es Salaam kwa ajili ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Pasipoti yake Mpya ya kieletronikia baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa.
MAOFISA Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakitowa saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka alama ya vidole wakati wa uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania za kieletronikia wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini kushoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla hiyo.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Pasipoti Mpya za Tanzania kwa kuponyenza kitufe kuashiria uzinduzi huo.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiangalia Pasipoti Mpya za Tanzania za Kieletronikia wakati wa uzinduzi huo wakipata maelezo ya Ubora wake kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kusoma ratiba ya hafla ya uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania, kulia Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Karume wakiwa katika hafla hiyo kurasini Jijini Dar es Salaam.
BALOZI wa Ireland Nchini Tanzania Balozi Paul Sherlock, akitowa maelezo wakati wa uzinduzi huo wa Pasipoti mpya za Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala akitowa maelezo ya kitaalamu ya utengenezaji wa Pasipoti Mpya za Tanzania wakati wa uzinduzi wake uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.
BAADHI ya Waalikwa na Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Tanzania wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kielotronikia.
WANANCHI wa Jiji la Dar es Salaam wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi Pasipoti Mpya za Tanzania zilizozinduliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya kurasini Makao Makuu ya Uhamiaji.
MAOFISA wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Kieletronikia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
Dk.Shein ajumuika na wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika chakula maalum cha Mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana Vikosi vya Ulinzi naUsalama vilivyoshiriki gwaride la kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika 12-1-2018 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana na Wanajeshi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi katika viwanja vya Amaan 12-1-2018.
MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchan kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu wa KVZ Mtoni Zanzibar.
MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchan kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ,wakijumuika na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar katika chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Askari wa Kikosi cha JKU Said Bakari Ali, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akitowa neno la shukrani kwa washiriki wa gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar, hafla hiyo ya chakula cha mcha zimefanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ,Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama nchini pamoja na Maafisa wa Vikosi mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika ghafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
Dk. Ali Mohamed Shein ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya kumalizika hafla hiyo ya kachula maalum kilichoandaliwa kwa ajali yao katika Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kumaliza hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana hao katika Viwanja vya KVZ Mtoni
WAZIRI wa Nchi na Afisi ya Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akitowa neno la shukrani wakatika kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzinar kwa ajili yao kilichofanyika katika Kambi ya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu wa Halaiki Zanzibar Ali Mohammed Bakari, alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha KVZ Mtoni kuhudhuria hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine wa Serikali wakiitikia dua baada ya kumalizika hafla ya chakula cha mchana kilichofanyika katika Viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika picha ya pamoja na Vijana walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakizungumza baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha mchana a Vijana hao, katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
BAADHI ya viongozi wa Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
VIJANA wa Bendi ya Chipukizi wakitoa burudani wakati wahafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika viwanja vya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar.
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakijumuika katika ghafla ya chakula cha mchana kwa vijana walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Dk.Shein awasili Zanzibar Akitokea Nchi za Falme za Kiarabu UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea katika ziara yake ya wiki moja katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,baada ya kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mke Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akivishwa shada la maua na mtoto aliyeandaliwa wakati wa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akivishwa shada la maua na mtoto aliyeandaliwa wakati wa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa na Baadhi ya Mawaziri waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakifuatilia Mkutano huo na waandishi katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Vyombo vya Habari mbalimbali vilioko Zanzibar akizungumzia mafanikio ya ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu, baada ya kuwasili Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje
WAFANYAKAZI wa Kiwanda cha Samaki cha Sharjah East Fishing Processing wakiwa katika zoezi la kutayarisha kamba kwa ajili ya kupekiwa na kusafirishwa nje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, bada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje