State House Blog

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt. Agnes Kalibata.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula,unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa wa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim na (kushoto kwake) Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt.Agnes Kalibata
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023

  • MKE wa Rais wa Zanzibar.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutoa Mada juu ya nafasi ya Mwanamke katika Kilimo, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023(AGRF) linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim
  • MKE wa Rais wa Zanzibar.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kutoa Mada juu ya nafasi ya Mwanamke katika Kilimo, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023(AGRF) linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Mkutano wa Kimataifa Unaojadili Mfumo wa Chakula,unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 6-9-2023, na (kulia kwake) Waziri wa Maendeleo anayeshuhulikia Masuala ya Kimataifa wa Norway Mhe.Anne Beathe Tvinnereim na (kushoto kwake) Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt.Agnes Kalibata
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika ( AGRA) Dkt. Agnes Kalibata, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi mdogo wa jengo la Mikutano la Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu, kabla ya kuaza kwa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) uliyofanyika 6-9-2023 katika ukumbi huo
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge) Mhe. Ummy Nderiananga na Rais wa Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) Dkt. Agnes Kalibata, alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023 (AGRF) lililofanyika 6-9-2023, katika ukumbi huo
  • WANANCHI wa Jiji la Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya Kuhifadhi Quran Juzuu 30, yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 30-3-2024

KUKABIDHI VYETI VYA URAIA WA TANZANIA KWA TAJNISI

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bi.Halima Idarous Adnan mwenye Asili ya Comoro,mkaazi wa Vikokotoni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Ndg.Karan Mohamed Ali, mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Kisimamajongoo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi cheti Bw.Mohamed Mzee Mbaba mwenye Asili ya Comoro ,Mkaazi wa Mkunazini Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

  • Baadhi ya Wananchi wenye Asili kutoka Nchini Msumbiji,Comoro,Burundi na Ruanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa wananchi na waalikwa mbali mbali katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitao hutuba yake

  • Maafisa wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania wakiwa katika hafla ya kukabidhi vyeti vya Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofu Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikan Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,30-8-2023
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofi Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikan Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,30-8-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji baada ya Mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha (kulia) Wasaidizi wa Rais

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha

KUAPISHWA MWENYEKITI NA MAKAMISHA WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Ndg.Ayoub Bakari Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Awadh Ali Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Halima Mohamed Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Idrissa Haji Jecha, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Juma Haji Ussi, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji George Joseph Kazi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi , kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Mwenyekiti Mhe.Jaji George Joseph Kazi (kulia) na Viongozi wengine kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar