Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amekabidhi vyeti vya shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya mwaka mpya wa Kiislamu Zanzibar Ikulu mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa KiislamuZanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Bi.Aziza Omar Hemed, kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizunguka, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Viongozi wa Dini na kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu,hafla hiyo iliyofanyika 21-8-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Sheikh.Mohammed Suleiman Ali, baada ya kumkabidhi Cheti cha Shukrani kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
WAJUMBE wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi Vyeti Wajumbe wa Kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
WAGENI Waalikwa katika hafla ya kukabidhi Vyeti kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati hiyo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa Vyeti kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwake) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Maji Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la MajiZanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO Maalumu ya Waazilishi wa Kongamano la Maji Zanzibar, Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar.Mhe. Shaib Hassan Kaduara, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 16-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Kazija Mussa Msheba, wakati akitembelea Maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, kabla ya kulifungua, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara
WASHIRIKI wa Kongamano la Maji Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023
WASHIRIKI wa Kongamano la Maji Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amehudhuria mkutano wa “China - African women forum”
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akielekea katika nafasi yake baada ya kumaliza kuzungumza katika mkutano wa Ushirikiano Kati ya Wanawake wa Mataifa ya Afrika na China “China –Africa Women Forum” ukizungumzia maendeleo ya Wanawake, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
BAADHI ya Wake wa Marasi na Viongozi wa Jumuiya za Wanawake wa China na Afrika wakimsiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika mkutano wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China 29-6-2023.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kutoka kushoto wa saba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake kutoka China na Afrika, wanaoshiriki katika mkutano wa Uhusiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Xiangjiang Jimbo la Hunan China
WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Shirika la Kimtaifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania Bi.Nesia Mahenge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa( CBM)Ndg.Dominique Schulkopthen baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na(kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania wa (CBM) Bi. Nesia Mahenge.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa (CBM) Ndg.Dominique Schulkopthen na Mkurugenzi Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini Afrika Ndg.Albert Kombo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizindua Mifumo ya Kielektroniki katika Utumishi wa Umma katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene.
Baadhi ya Makatibu Wakuu na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia pichani) akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ili azungumze na Viongozi na Wafayakazi mbali mbali katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid, Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
Mawaziri wa Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya sherehe ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi