Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi asaini kitabu cha maombolezi kufuatila kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya watu wa China Jiang Zemin.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kumaliza kutia saini kitabu cha maombelezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo 2-12-2022 katika ubalozi mdogo wa China Mazizini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,alipofia ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022, na aliyesimama Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliopo Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,alipofia ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea na kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa ya Lumumba mjini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, linalojengwa katika eneo la viwanja vya Lumumba Wilaya ya Mjini leo 19-11-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini, kujionea maendeleo ya ujenzi huo wakati wa ziara yake leo 19-11-2022, akipata maelezo ya ujenzi kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru.(kulia kwa Rais)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kwa Mshauri elekezi wa kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jengo la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati wa ziara yake leo 19-11-2022, kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.Mhe. Rashid Simai Msaraka.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi huo
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, likiendelea na ujenzi wake katika hatua za mwisho za ujenzi huo
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MSIKITI WA MASJID HUSSEIN GHANA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo baada ya kuufungua leo 18-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 18-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 18-11-2022
WANANCHI wa Kijiji cha Ghana Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hussein, baada ya kuufungua leo 18-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo baada ya kuufungua leo 18-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Ghana Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti wa Masjid Hussein Ghana Kichakani, baada ya kuufungua leo 18-11-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuasiria kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja leo 18-11-2022, na kujumuika na Wananchi wa Ghana katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amezungumza na waheshimiwa Mabalozi Wanawake wa Tanzania.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi Wanawake wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Zanzibar Maisha Bora Foundation Migombani Jijini Zanzibar.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo migombani Jijini Zanzibar.
AMIDI Mkuu wa Mabalozi wa Tanzania Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza wakati wa mkutano wao na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo iliyoko migombani Jijini Zanzibar.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Waheshimiwa Mabalozi Wanawake wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje,walipofika Ofisi za (ZMBF) migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kupata maelezo ya shughuli zinazofanya na Taasisi hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa (Mb) alipofika Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa (Mb) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 11-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 11-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.leo 11-11-2022