State House Blog

Rais Dk.Mwinyi amekutana na Uongozi wa Amref Health Afrika.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" wakati ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu (katikati) na Mkuu wa Miradi wa Dr. Aisa Muya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu (wapili kulia) alipokuwa akielezea masuala mbali mbali akiwa na Ujumbe wake aliofuatana nao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea cheti maalum cha pongezi kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu wakati Uongozi wa Shirika hilo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Balozi wa Jamuhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Muigizaji wa Filamu za Kihindi Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wamarungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw. Sanjay Dutt, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw. Sanjay Dutt, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw.Sanjay Dutt.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo, 9-11-2021,akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Africab Bw. Yussuf Ezzi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mpicha na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa michezo ya sinema kutoka Nchini India Bw.Sanjay Dutt, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini TZ.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.
  • Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiagana na Mgeni wake Balozi wa baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.

Kongamano la Tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisis za Umma.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga (wa pili kulia)
  • Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar SaidS haaban alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition"leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga (kulia)a kitoa akitoa salam zake katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) amelifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya washiriki wa **Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano hilo lililifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipokuwa akitoa maelezo yake katika Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition"lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban pamoja na Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipowasili Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition.