Raisa wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Kampeni ya “Sheforhe”
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Millisic na Mwakilishi wa Shirika la UN linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic.
BAADHI ya Mawairi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliozinduliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 4-11-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Millisic, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”
Rais wa Zanzibarna MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii Kizimkazi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi na Wawekezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa hoteli hiyo inayojengwa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya mwaka mmoja wa Uongozi wake (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Soraga, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw.Sharif Ali Sharif na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort,ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi na Wawekezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa hoteli hiyo inayojengwa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya mwaka mmoja wa Uongozi wake (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Soraga, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort Kizimkazi, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Utali na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Leila Mohammed Mussa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi. Lela Burhan Ngozi.
WANANCHI wa Kizimkazi wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii, ikiwa ni shamra shamra ua kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mwinyi Sarboko, akitowa maelezo ya ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi huo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazi Mkoa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Bw.Ahmed Saber akionda kipazia, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi wa Hoteli hiyo Kizimkazini.
Baadhi ya Wananchi na Wafanyakazi katika ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan,katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi huo lilowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wake wa Awamu ya nane.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wake katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakiwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan, sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kulia) na Bw.Ahmed Saber Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi huo sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo (wa pili kushoto) Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wake katika Kijiji cha Kizimkazi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Kikundi cha Wasanii cha Taifa wakiburudisha kwa ngoma ya kibati wakati wa Hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Hoteli ya L'oasis Beach Resort Project Plan sambamba na maadhimisho ya mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resotr &Spa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA; Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Bw.Jesus Alfredo Otri, akitowa maelezo ya Mradi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi huo Matemwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na(kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake kutokea kuingia madarakani.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussin Ali Mwinyi azindua Miradi ya Maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi, ikiwa ni shamrashamra za kutimiza Mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi, ikiwa ni shamra shamra za kutimiza Mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi.Ikiwa ni shamra shamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts; Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Raul Gantes.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts; Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts; Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts; Nungwi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe Mudrik Soraga na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw.Raul Gantes, shamrashamra za kutimiza Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residen.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,ikiwa ni shamra shamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza.Bw.Yusuf Ezzi akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Mradi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo Bweleo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (hawapo pichan) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo.Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kutimia mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza.Bw.Yusuf Ezzi akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Mradi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo Bweleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo.(kushoto) Uongozi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo huko Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo.