State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Huduma Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jwtz Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-10-2021,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha Viongozi aliowateuwa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Balozi Masoud Abdalla Balozi kuwa Katibu wa Rais wa zanzibar -Ofisi ya Rais - Ikulu hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Capt. Khatib Khamis Mwadini kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakati wa hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiangalia hati za Viapo vyao kabla kuapishwa rasmi katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwa amesimama na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa na Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibu kushika nafasi mbali mbali za Uongozi hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman (kulia)Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi wengine ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza wa Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziA lhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • WANAFUNZI kutoka Madrassatul Noor Ul Huda ya Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakisoma Qswida ya kumsalia Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika jana usiku katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika kisimamo cha Qiyaam na kumsalia Mtume Muhammad SAW, wakati wa hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiku katika uwanja wa Maisara Suleiman na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zuhura Kassim Ali na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan na Mke wa Makamu wa Kwanza Mama Zainab Kombo Shaib.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakijumuika katika hafla ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiki 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman,Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Makamu Mwenyekiti wa CC y Zanzibar Mhe,Dk Ali Mohamed Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu Ya CCM.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi.Lela Burhani Ngozi,alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.
  • WAJUMBA wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika leo kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.