State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Rais wa Mahkama ya Afrika na Mkurugenzi Mkuu wa (Badea).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Mahkama ya Afrika Mhe.Jaji Imani D.Aboud, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 7-10-2021, akiwa na ujumbe wake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Uchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah,((kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 7-10-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana mawazo na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Uchumi Afrika (BADEA) Dkt.Sidi Ould Tah, wakati wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe Hamisu Umar Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe Hamisu Umar Takamawa, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 5-10-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe Hamisu Umar Takamawa, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu 5-10-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongazana na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Hamisu Umar Takamawa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe.Hamisu Umar Takamawa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.5-10-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe Hamisu Umar Takamawa, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 5-10-2021.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohammed Mahamoud,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.4-10-2021

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wajasiriamali Wanawake katika wiki ya Maadhimisho ya UWT Wilaya ya Mjini Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar na MBLM Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa UWT alipowasili katika viwanja vya Kituo cha Amali Miembeni kuhudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Kibibi Product.Bi.Priscilla Tayari akitowa maelezo ya bidhaa zinazotengenezwa na Kikundi hicho, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wa Wilaya ya Mjini Unguja katika Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Amali Miembeni Zanzibar na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT.Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwaangaliwa Wanafunzi wa darasa la upambaji wa Chuo cha Amali Miembeni wakiwa katika maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika katika viwanja vya chuo hicho cha UWT Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia) Mkuu wa Chuo Ndg. Said Kheri Ame na Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe Thuwaiba Editon Kisasi
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Chuo cha Wajasiriamali Wilaya ya Mjini kinachojishughulisha na utengenezaji wa losheni Bi.Rauhiya Abdalla Khamis, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wa Wilaya ya Mjini Unguja katika Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Amali Miembeni na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT Mhe Thuwaiba Editon Kisasi.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Kibibi Product.Bi.Priscilla Tayari akitowa maelezo ya bidhaa zinazotengenezwa na Kikundi hicho, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wa Wilaya ya Mjini Unguja katika Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Amali Miembeni Zanzibar na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UWT.Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi.
  • MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chuo cha Amali UWT Zanzibar ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali Miembeni Mjini Unguja
  • BAADHI ya Wabunge na Wawakilishi kupitia nafasi za UWT Wilaya ya Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wajasiriamali Wanawake wa Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Wiki ya UWT yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali cha UWT Miembeni Unguja.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe.Thuwaiba Editon Kisasi akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya UWT yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali Miembeni Zanzibar,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mke wa Rais wa Zazibar Mama Mariam Mwinyi,kuzungumza na Wajasiriamali Wanawake.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Cheti Muhitimu wa Chuo cha Amali cha UWT Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Bi.Sumaiya Ali Shaib,baada ya kumaliza Mafunzo ya Upishi katika chuo hicho,ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho.
  • WANACHAMA wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali Miembeni Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa Chuo cha Amali cha UWT Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Ndg. Soud Haji Juma, baada ya maliza mafunzo yake ua Ushoni katika Chuo hicho, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya chuo hicho.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwahutubia Wajasiriamali Wanawake wa vikundi mbali mbali na Wanachama wa UWT Wilaya ya Mjini Unguja katika hafla ya Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika Miembeni Zanzibar.

Mkutano wa Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kikristo alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar kwa ajili ya Mkutano wa Viongozi hao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiteta na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kikristo kabla ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika katika Ofisi ya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Masister na Viongozi wengine wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo ni miongoni mwa washiriki wa mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakifurahia hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini Zanzibar.