Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa benchi ya 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuwaaga imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wa kwanza Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng,wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Visiwa vya Unguja na Pemba Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Benchi la 30 kutoka China Dr.Wang Yiming,baada kumaliza muda wao wa mwaka mmkoja kutokwa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania Nchi mbali mbali Duniani
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mabalozi hivi karibuni.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani, wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na baadhi ya Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwimyi amelifungua jengo jipya l a Tawi la CCM Sebleni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Tawi la CCM Sebleni, kwa ajili ya kulifungua jengo jipya la Tawi la CCM.
RAIS wa Zanzibar na MBLM ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Kwani Mhe Ahmada Yahya Abdulwakil
RAIS wa Zanzibar na MBLM ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimtusha ndoo ya maji Mwananchi wa Sebleni baada ya kukizindua Kisima kipya cha Maji Safi na Salama.
MUONEKANO wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani lililojengwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo na kufunguliwa leo 18-9-2021 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa .Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Tawi la CCM Sebleni baada ya kulifungua rasmin leo 18-9-2021, akipota maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Jimbo la Kwahani Ndg.Ramadhan Juma (kulia kwa Rais).
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Seti ya TV Kiongozi wa Maskani ya Mohammed Ali Bi.Subira Omar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Tawi hilo Sebleni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar,wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni na Kisiwa cha Maji Safi na Salama Sebleni
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozo wa India Nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambilisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Balozi Mdogo ayefanya kazi zake Zanzibar Mhe.Bhagwant Singh.