Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali kutoka Soko la Kibandamaiti Bi.Hawa, alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamalin Wadogo, wakati wa uzinduzi wa Vitambulisho vya Biashara kwa Wajasiamali Wadogo wa Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajun Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bi.Amina Said Mdoe, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe .Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitambulisha chake na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Suleiman Mbarouk Mohammed, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba Bi.Fatma Khamis Juma, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais Wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Ulinzi Dk.Stergomena Tax Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Dk. Stergomena Tax, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Waziri) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Dkt. Faraj Mnyepe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais)alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa benchi ya 30 kutoka Nchini China waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuwaaga imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wa kwanza Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng,wakati wa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa wa Kichina waliomaliza muda wao wa mwaka mmoja Zanzibar kutoka huduma ya Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Visiwa vya Unguja na Pemba Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Benchi la 30 kutoka China Dr.Wang Yiming,baada kumaliza muda wao wa mwaka mmkoja kutokwa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar na ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania Nchi mbali mbali Duniani
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mabalozi hivi karibuni.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani, wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na baadhi ya Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar