Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk.Hussein Ali Mwinyi atemelea Hospitali ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospitali hiyo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakati wa ziara yake baada ya kupata maelezo kutoka kwa Uongozi wa hospitali hiyo na kuitangaza rasmin kuwa Hospitali ya Wilaya.

MADAKTARI na Wauguzi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakiti wa ziara yake kuona maendeleo ya hospitali hiyo na kuipandisha kuwa Hospitali ya Wilaya.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Skuli ya Sekondari ya Amani Abeid Amani Micheweni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Bw. Ali Khamis Juma,wakati wa ziara yake kutembelea Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, kupata maelezo ya changamoto ya ukosefu wa Dakhalia katika Skuli hiyo.
WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari ya Dr,Amani Abeid Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika katika Skuli hiyo kupata changamoto ya Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Konde,akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba, alipowasili katika eneo linalotaka kujengwa Kituo cha Daladala na kupata maelezo ya ujenzi huo na kusikiliza kero za Wananchi wa Konde.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya kukosa Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari ya Dr,Amani Abeid Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika katika Skuli hiyo kupata changamoto ya Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya kukosa Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Konde,akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba, alipowasili katika eneo linalotaka kujengwa Kituo cha Daladala na kupata maelezo ya ujenzi huo na kusikiliza kero za Wananchi wa Konde.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameizindua Meli ya Mizigo na Abiria ya MV.Ikram Bandari ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba katika uzinduzi wa Meli Mpya ya Mizigo na Abiria MV Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Meli Mpya ya MV Ikraam baada ya kuizindua rasmin katika bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Nahodha wa Meli ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua rasmin,hafla hiyo imefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabahari wa Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1, baada ya kuzinduliwa rasmin,katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Abiria na Mizingo ya MV Ikraam 1. Bw Juma Amour akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalamu ya Meli hiyo, wakati wa hafla ya Uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika bandari ya Wete Pemba.
BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuizindua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanyas afari zake kati ya Unguja na Pemba .
RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN ALI MWINYI AMEAZA ZIARA MKOA KASKAZINI PEMBA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni
BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar amekutana na Mwakilishi wa Heshima wa Slovakia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati)alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha akiwepo na Mratibu wake hapa Zanzibar Mhe.Ibrahim Rara.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.