Rais wa Zanzibar akizungumza na Uongozi wa Istiqama Charitable Organization.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum (wa tatu kushoto) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kusalimiana
Balozi mdogo wa Msumbiji amejitambulisha kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi Karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Khamis Kona Khamis kuwa Mkurugenzi wa Uchauzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt. Fatma Marisho kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii, Wazee,Jinsia na Watoto, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Dkt. Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu, anayeshuhulikia masuala ya (Uchumi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazina Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Uzinduzi wa Hotel ya Golden Tulip.
Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Nd,Shariff Ali Shariff alipotoa taarifa ya kitaalam kuhusu Uzinduzi wa Hoteli hiyo hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza (wa nne kulia) alipotembeleamaeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” mara baada ya Uzinduzi wa Hoteli hiyo aliyoifungua leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Rais Mstaaf wa Nigeria Mhe.Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu Wa Ethiopia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu cha “Asian Aspiration”, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla ya kufanyika uzinduzi huo wa kitabu hicho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu chake cha “Asian Aspiration” kabla ya kuzinduliwa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kulia kwake) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kuaza mazungumzo.