Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Wete, Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wilaya ya Wete Pemba
WANANCHI wa Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Mattar,wakati wa hafla ya futari maalum iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani)baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali walipowasili Uwanja wa Ndege wa Chake chake Pemba,akiwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahro Matar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili Kisiwani Pemba na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ajili ya ziuara ya Siku mbili Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Masjid Nuurul Yaqiin katika kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kikjiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
WAZIRI wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Nyumba za Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji hicho Mkoa wa Kaskazini Unguja
WANANCHI wa Kijiji Dundua Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin uliopo katika Kijiji kipya cha Dunduo.
WAZEE wa Kijiji cha Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid NuurulYaqiin Dundua ulioka katika eneo la Kijiji Kipya cha Dundua
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Msahafu uliotolewa na Masheikh wa Mkoa wa Kaskazini Unguja akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa kwa Wananchi wa Mkoa huo.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa salamu za Mkoa wakati wa hafla ya Futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum iliandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni Unguja
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkokotoni Unguja, akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma na (kushoto kwake ) Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe Mtumwa Peya Yussuf
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Salum Gharib baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja mkokotoni, wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,na (kulia kwam Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja mkokotoni, (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari aliyowaandalia ukumbi wa Suza
RAIS w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbu wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na kubadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Kusinbi Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe Simai Mohamed Said na Mbunge wa Jimbo la Tungu Mhe. Khalifa Salim Suleiman, wakiwa katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA (Tunguu Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi huo
Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.