State House Blog

Ufunguzi wa Jengo la “Michezani MALL” Mjini Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika leo Michenzani Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali alipokata utepe kulifunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali katika kufunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano pamoja na Viongozi wenginei alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika Michenzani Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika leo viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika

Mkutano wa Kampeni za CCM Mnazi Mmoja Mjini Unguja.

  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa Tanzania Mhe John Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mnazi mmoja Jijini Zanzibar
  • RAIS Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mgombea Urais wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzxania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania uliofanyika
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani

  • Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. John Magufuli uliofanyika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Jukwaa Kuu wakiwa wamesimama wakati wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh Sharif Abdulraham Muhidin (hayupo pichani) kabla ya kuaza kwa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli uliofanyika katika Uwanja Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • WAKE wa Viongozi wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufulia akiwahutubia Wanachama wa CCM Zanzibar katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo 3/10/2020 na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi na Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM na kujiombea kura yeye mwenyewe kwa Wananchi
  • MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Mhe, Dkt. John Magufuli akilisakata rumba wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika uwanja wa Mnazi Mmoja leo 3/10/2020 na (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine wa CCM wakijumuika katika kulishata rumba na msani Zuchu
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar na kuwaomba kura Wananchi wa Zanzibar na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli na Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CCM Zanzibar
  • MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi MheDkt. John Pombe Magufuli akisakata rumba na Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Zuchu wakati alipopanda jukwaa la wasanii katika uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar wakati wa mktano wake wa kampeni uliofanyika
  • WANACHAMA wa Cha Cha Mapinduzi Zanzibar wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli (hayupo pichani) akihutubia na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi na Wabunge, Wawakilishi na Madiwa wa CCM, wakati wa mkutano huo uliofanyika uwanja wa mnazi mmoja Jijini Zanzibar

Mkutano wa Kampeni CCM Mgombea Urais wa Zanzibar Makunduchi.

  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja
  • UMATI wa Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa na bango la picha za Wagombea Urais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi na Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakiwa katika jukwaa la viongozi wakati wa mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , uliofanyika katika uwanja wa ,pira wa jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja
  • TEAM Mwinyi Kwanza wakifuatilia mkutano wa Kampeni ysa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi yaCCM MheDk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanjwa wa mpira Jamuhuri Makunduchi
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasilim katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika Uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofan

DkSshein amelifungua Jengo la Abiria uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein( katikati) akiwapungia mkono wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia kwa Rais ) Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Mustafa Aboud Jumbe (wa pili kulia) alipokagua jengo la Abiria la (Terminal III) baada ya ufunguzi rasmi uliofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kushoto)Meneja wa Ujenzi Jengo Nd.Yasser De Costa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huo umefanyika katika eneo la jengo hilo.(Picha na Ikulu)
  • BALOZI Mdogo wa Jamuhri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu akizungumza na kutowa Salamu ya Nchi yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
  • MKE wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi wakimtunza msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Asley akitoa burudani katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Jengo la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Dk. Sira Ubwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huom umefanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, ufunguzi huo umefanyika leo 28/9/2020 katika eneo la jengo hilo
  • WAZIRI wa Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Dk. Sira Ubwa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuzungumza kuzungumza na wananchi waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
  • VIONGOZI wa meza kuu wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. Terminal III
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo jipya la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliani Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya kitaalam ya ujenzi wa jengo jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III
  • BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III