State House Blog

Dk.Shein amezungumza na Balozi Mdogo wa China

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.

Dk.Shein azungumza na Gavana wa BOT Profesa Florens

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa.Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais akiongozana na Ujumbe wake (kulia) yaliofanyika katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
  • BAADHI ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia kikao hicho cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg, Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa
  • BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatila mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.
  • MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mipango Sera na Utafiti Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ndg Mwadini Haji akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
  • BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC,MADINAT AL BAHR MBWENI

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al BahrRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
  • Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC

Rrais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Mwakilishi wa Ras al Khaimah

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi,alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania. Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah.Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) NchiniTanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilifanyika Uwanja Amaan .