State House Blog

Kikao cha Kamati maalum CCM Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika .
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar (kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikaribishwa na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.

Dk.Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa Ikulu zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Mhe: Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Ayoub alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Mhe.Hassan Khatib Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi(Gavu) na Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa n a Idara Maalum za SMZ Shamata Shaame Khamis,(kulia) wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa Kusini na Mjini Magharibi katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Viongozi ambao ni Wkuu wa Mikoa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

Waziri anaeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika mazungumzo baina ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wa Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno walipokutana Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitambulishwa kwa baadhi ya Viongozi mbali mbali katika ujumbe wa Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (katikati) ujumbe huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

Dk.Shein amekutana na Rais wa Muungano wa Visiwa vya Commoro.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.

Uzinduzi wa mpangoshirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akimkabidhi kitabu cha Mpango Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed mara baada ya kufanya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Rais wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba ya Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA) Mussa Ramadhan Haji (kulia)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,(kushoto) Afisa Ufuatiliaji na Kampeni Ameir Muhidin Nahoda
  • Maafisa katika Idara za Serikali ya Mapinduzi na taasisi Binafsi wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar uliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Viongozi na Watendaji mbali mbali katika Serikai ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Maji na Usafi wa Mazingira UNICEF Bw.Marko Msambazi(katikati)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira na Mamlaka ya usimamizi Mazingira Nd.Alawi Haji Hija (kushoto)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar.