State House Blog

Uzinduzi wa mpangoshirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akimkabidhi kitabu cha Mpango Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed mara baada ya kufanya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed

Uzinduzi wa mpangoshirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akimkabidhi kitabu cha Mpango Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed mara baada ya kufanya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed

Dk. Shein azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti Rais wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania.Profesa Lucas Domingo Hemandez Polledo,alipofika Ikulu Zanzibar na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Cuba. Mhe.Marcelino Medina Gonzelez,akiwa (katikati) hafla hiyo imefanyika 8,Septemba 2019 Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti Rais wa Baraza la Ma;pinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania.Profesa Lucas Domingo Hemandez Polledo,alipofika Ikulu Zanzibar na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Cuba. Mhe.Marcelino Medina Gonzelez,akiwa (katikati) hafla hiyo iliyofanyika 8,Septemba 2019 Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba. Mhe. Marcelino Medina Gonzalez, wakitoka katika ukumbi wa Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika 8,Septemba 2019
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake, Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Mhe.Marcelino Medina Gonzalez, kushoto Balozi Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Profesa.Lucas Damingo Hemandez Polledo,hafla hiyo imefanyika leo 8,Septemba 2019, Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba.Mhe. Marcelino Medina Gonzalez,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo 8, Septemba 2019

Dk.Shein amewapongeza Wanafunzi waliofanya Mitihani ya Taifa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Wahda Mbarak Uzia wa Skuli ya Sekondari ya Fedha katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Ahmad Khamis Kassim wa Skuli ya Sekondari ya Limumba katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Nasma Talib Saleh wa Skuli ya Sekondari ya SOS katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na kuwaandalia chakula cha mchana, hafla iliyotayarishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Mwaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na kuwaandalia chakula cha mchana, hafla iliyotayarishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Wanafunzi wakichukua chakula katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na chakula cha mchana katika hafla iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Baadhia ya Wanafunzi wakichukua chakula katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na chakula cha mchana katika hafla iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akiwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaalika chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar

Kongamano la 10 la Kisayansi na mkutano mkuu wa Wapatholojia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr.Elisha Osati wakati wa mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Chama cha Wapatholojia APT Dkt Charles Massambu mara banana ya mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Manzi moja Dk.Jamala Adam Taib wakati wa mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Manzi moja Dk.Jamala Adam Taib (kushoto) pamopja na Wajumbe wengine wakiwa katika Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT) Tanzania liliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • BAADHI ya Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar