Dk.Shein amewataka Viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu Wananchi juu ya maradhi ya KORONA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kuzungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba.
BAADHI ya Maofisa Wadhamini wa Wizara za Serikali Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chake chake Pemba wakati wa ziara yake Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
Dk.Shei ametembelea jengo linalotarajiwa kuwa la uchunguzi wa Virusi Binguni Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasa Salum Ali,alipowasili katika viwanja vya Taasisi hiyo Binguni Wilaya ya Kati Unguja kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,lililoko katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati Unguja akielekea katika jengo hilo (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamme.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe Hamad Rashid Mohammed, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasac Salum Ali na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja 25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.
Dk.Shein amezungumza na Wasanii mbali mbali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Wasanii wakongwe wakisimama wakati wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbali mbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni (katikati)
Rais wa Zanzibar amezungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanaharakati Siti Bint Saad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint. Saad, Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na kumkabidhi Kadi ya Uanachama No.1 na Picha ya Siti Bint Saad, hafla hiyo imefanyika 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha ya Siti Binti Saad, ikimoonesha Bi.Siti Bint Saad na Bwa. Ali Muhsin, aliyemuibua katika fani ya uimbaji akikabidhi Katibu wa Taasisi hiyo Dkt. Mohammed Omar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint Saad.Bi.Nasra Mohammed Hilal, hafla hiyo imefanyika 10-3-2020, Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bi. Siti Bint Saad. Bi. Nasra Mohammed Hilal, alipofika kwa mazungumzo Ikulu Jijini Zanzibar 10-3-2020
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wa Uongozi wa Taasisi ya Siti Bint Saad wakiwa nje ya ukumbi wakibadilishana mwazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-3-2020
Dk.Shein amezungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Simbachawene.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Mhe. Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe:Goerg Simbachawene, alipofiki Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo yaliofanyika