Dk.Shein akujumuika na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari aliowaandalia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Haji Omar Kheri, alipowasili katika viwanja vya Chuo Cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iliofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iliofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika Futari Maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi akitowa shukrani kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini baada ya kumalizika hafla ya Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskaziuni Unguja baada ya kumaliza futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskaziuni Unguja baada ya kumaliza futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Dk.Shein amehudhuria Futari iliyoandaliwa na Bank ya Watu wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wafanyakani wa Benki ya Watu wa Zanzibar na Wananchi katika futari ilioandaliwa na PBZ, katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar kushoto Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi. Khadija Shamte, wakipata futali ilioandaliwa na PBZ kwa Wateja wao na Wananchi iliofanyika katika ukumbii wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi. Kidawa Himid. Saleh, akijumuika na Wananchi katika Futari maalum ilioandaliwa na PBZ katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
WANANCHI wa Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
WANANCHI wa Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
WAGENI waalikwa wakipata futari katika hoteli ya Verd Mtoni Zanzibar ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Juma Ameir Hafidh baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari iliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar katikati Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi mbalimbali meza kuu kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohamed Ramia, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kulia Mjumbe wa Bodi ya PBZ Yakout Hassan Yakout , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Sheikh Abdalla Talib akitowa nasaha baada ya kumalizika hafla hiyo ya futari katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.(
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla hiyo ya futari ilioandaliwa na PBZ katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Othman Hassan Ngwali, baada ya kumalizika hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Dk.Shein amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari aliyowaandalia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar kushoto Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Rashid Hadid Rashid katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Sheikh Mohammed Suleiman, baada ya kumaliza kusoma dua na kutowa mawaidha ya fadhila ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa hafla ya futari maalum iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pembe wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa Wananchi wa Mkoa wac Kusini Pemba iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chakechake Pemba kulia Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Mhe. Maua Abeid Daftari na kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Kijamii Mhe. Zainab Omar.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman akitowa neno la shukrani baada kumaliza hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Chake chake Kisiwani Pemba
Dk.Shein amewasili Kisiwani emba kwa ziara maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba, akiwa katika ziara maalum ya kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika Futari Maalum, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman, wakielekea katika chumba cha mapumziko baada ya kuwasili Kisiwani Pemba,akiwa katika ziara maalum ya kujumika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika futari aliyowaandalia, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, akiwa katika ziara Maalum ya Kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika futari maalum, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mama Mwanamwema Shein, wakielekea katika chumba cha mapumziko katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili,akiwa katika ziara Maalum ya kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika hafla ya futari inayotarajiwa kufanyika kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman
Dk. Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo iliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt. Idrisa Muslim Hijja, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar kushoto Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma, Naibu Waziri wa Eilumu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Mohammed Said na Viongozi wa Idara za hiyo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza cna Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt. Idrisa Musli Hijja na Naibu Katibu Mkuu Ndg Abdalla Mzee.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akitowa maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake wakati wa mkutano huo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kuliac Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said
BAADHI wa Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao.
BAADHI wa Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao.
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Ndg. Abdalla Mzee, akisoma Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, kushoro Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt. Idrisa Muslim Hijja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.