State House Blog

Ufungaji wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu awamu ya tatu.

  • Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid Salum (kulia) akimkabidhi Cheti Mshiriki wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu Ndg. Rajab Abass Rajab, wakati wa ufungaji wa Mafunzo hayo yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food & Fermentation Industrieskulia kwa Katibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Mr. Dong Jianhui, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MshirikiI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries,akitowa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wanafunzi kutoka katika Taasisi za Serikali na Binafsi yaliochukuwa wiki nne. wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • MSHIRIKI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries,akitowa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wanafunzi kutoka katika Taasisi za Serikali na Binafsi yaliochukuwa wiki nne.wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya China National Research Institute of Food & Fermantation Industries Mr. Dong Jianhui, akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo ya Upishi na Ukarimu, yaliotolewa na Taasisi yake, hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mafunzo ya Ukarimu na Mapishi wakionesha kwa vitendo jinsi mafunzo hayo waliyoyapata kupitia Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries, wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • WANAFUNZI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu wakifuatilia hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo yao katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Institute of Food & Fermentation Industries, wakiwa katika picha ya pamoja na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na kufunga mazunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Maulid Salum akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Dong Jianhui kulia akiwa na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Rais.

Dr.Shein amezungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Chake Chake Pemba.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba, katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC kiwanda cha Makonyo Wawi, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Yussuf Ali Juma na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi.
  • MWENYEKITI wa Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Chake chake Pemba.Ndg.Haji Hamad Kombo akizungumza kwa niaba wa Wazee wakati wa mkutano huo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha ZSTC Makonyo Wawi.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba, katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC kiwanda cha Makonyo Wawi, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Yussuf Ali Juma na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuiingia katika ukumbi wa mkutano wa Kiwanda cha Makonyo ZSTC Wawi,kushoto kwa Rais Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr. Abdalla Juma Mabodi, Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe.Balozi Amina Salum na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba. Ndg. Yussuf Ali Juma na Makamu Mwenyekiti wa UWT.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chake chake Pemba
  • WAZEE wa Wilaya ya Chake chake Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC Makonyo, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba na kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya hiyo
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo kuaza ziara yake Kisiwani Pemba, kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mzee Ali Omar Abdalla baada ya kumaliza mkutano wake na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba uliofanyika katika ukumbi wa kiwanda cha ZSTC cha Makonyo Wawi

Dk.Shein amewaapisha Viongozi aliowateuwa (washauri).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar katika hafla ya kuwaapisha Washauri katika sekata mbali mbali baada ya kuwateuwa rasmi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Abdulla  kuwa Mshauri wa Rais Mambo ya Siasa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Abdulla kuwa Mshauri wa Rais Mambo ya Siasa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassaan Said pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw. Abdalla Rashid Abdulla na Bw.Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw. Abdalla Rashid Abdulla na Bw. Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Mshauri wa Rais Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni

Dk.Shein amezindua Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Damen Shipyard Gorinchem, Kanda ya Afrika Mr.Ronald Maat, alipowasili katika viwanja vya Bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kepteni Azizi na kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe,akiwa katika meli ya mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati akitembelea Meli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto kwa Rais Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo,akitowa maelezo wakati wa kutembelea moja meli hiyo baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua katika Bandari ya Malindi Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika chumba cha kuongozea meli katika ya MT.Ukombozi II, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balizi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid na kulia Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakimsikiliza Msaidizi Nahodha wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid,wakiwa katika chumba cha kuongozea Meli wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya moja ya vifaa vya kuongozea meli wakati wa uzinduzi wa meli hiyo ya MT. Ukombozi II, uliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya kitaalamu ya Uundaji wa Meli ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Meli hiyo uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Iddi Haji Makame, akimkabidhi mfano wa Hundi Mwakilishi wa Kampuni ya Damen Shipyard s Gorinchem iliounda Meli hiyo ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, Mr. Ronald Maat, wakati wa hafla ya Uzinduzi na makabidhiano ya Meli hiyo,uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar.
  • Baadhi ya Wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukumbozi II, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia hafla hiyo katika viwanja vya bandari ya Malindi
  • WAFANYAKAZI wa Shirika la Bandari Zanzibar wakishangilia wakat wa Uzinduzi wa Meli ya Kisasa ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, uliofanyika katika bandari ya Malindi Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika bandari ya Malindi
  • BAADHI ya Wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukumbozi II, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia hafla hiyo katika viwanja vya bandari ya Malindi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za Uzinduzi wa Meli Mpya ya Kisasa ya Mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika bandari ya Malindi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein awasili nchini akitokea nchini Ras Al Khaimah baada ya kumaliza ziara yake

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchi za Umoja wa Falme wa Nchi za Kiarabu (UAE)baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akiongoza mahojiano ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbiwa VIP Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar wakifuatilia taarifa ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akizungumzia ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah, baada ya kuwasili Nchini Zanzibar