Rais wa Zanzibar Dk.Shein azindua Barabara ya Kijitoupe -Fuoni Mambosasa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Bi.Radhia Rashid Haroub, akitowa Taarifa ya Kitaalam ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa , wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo ikiwa na shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka, katika viwanja vya Fuoni Mambosasa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kijitoupele hafi Fuoni Mambosasa, iliwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,uzinduzi umefanyika katika eneo la barabara hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi wakati Vijana wa CCM wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka katika viwanja vya mpita vya Mzee Mgeni Fuoni Mambosasa baada ya kumaliza hafla ya Uzinduzi wa barabara mpya ya kiwango cha lami.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Jukwaa kuu wakiitikia dua ikisomwa na Ustadh Khalid Mfaume, baada ya kumalizika hafla ya ufunguzi wa barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi B Unguja. hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa mpira fuoni mambosasa
BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Magharibi Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa,iliozinduliwa ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kijitoupele hafi Fuoni Mambosasa, iliwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,uzinduzi umefanyika katika eneo la bara bara hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
Rais wa Zanzibar Mhe:Dk. Ali Mohamed Shein,ameufungua Uwanja wa Mao Zedong anzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi ya Zheng Tai Group, iliojenga Uwanja huo Mr. Pan Yang, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Uwanja huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua Viwanja vya Mpira Vipya vya Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Uwanja huo akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo, Utamaduni na Sanaa Zanzibar Omar Hassan King,ikiwa ni shamrashara ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BALOZI Mdogo wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, akizungumza wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, na kutowa Salama za Nchi yake wakati wa ufunguzi wa Uwanja huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar, Ndg. Omar Hassan King, kabla ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja hivyo vipya
Dk.Shein amezindua mradi wa vituo vya uokozi na uzamiaji vya KMKM Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CDR.Hussein Ali Makame, akitowa maelezo kwa Rais wakati akitembelea Boti hiyo baada ya kuizindua katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Boti ya Kisasa ya Uokozi na Uzamiaji ya Kikosi cha KMKM Zanzibar imezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein,.leo katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Vituo Vya Uokozi vya KMKM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akizindua Boti ya Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji vya Kikiso cha KMKM Zanzibar,uzinduzi huo umefanyika katika, bandari ya Mkoani Pemba, 2-1-2019.kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Vikosi Maalum. Mhe Haji Omar Kheri na kulia Mkuu wa KMKM Commodere Hassan Mussa Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika Boti ya KMKM ya Uokozi baada ya kuizindua akiwa na Mkuu wa KMKM Commodore Hassan Mussa Mzee.
Jengo Jipya la Kituo cha KMKM la Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji lilioko katika Bandari ya Mkoani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kituo cha Mradi wa Uokozi na Uzamiaji cha KMKM Zanzibar, wakati wa shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CDR.Hussein Ali Makame, akitowa maelezo kwa Rais wakati akitembelea Boti hiyo baada ya kuizindua katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Boti ya Mradi wa Vituo vya Uokozi na Uzamiaji vya Kikisi cha KMKM Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman wakiondoka katika eneo la Bandari ya Mkoa baada ya Uzinduzi wa Boto ya KMKM ya Uokozi na Uzamiaji
Dk.Shein amewasili Kisiwani Pemba kuhuzuria uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo ya miaka 55.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla. wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Pemba kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kesho kuhudhuria Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa katika Uwanja wa Gombani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakati alipowasili,alipowasili katika Uwanja wa Ndege Kisiwani Pemba leo jioni,31-12-2018, kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kushiriki Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa yatakayofanyika kesho katika Uwanja wa Gombani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba. Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, alipowasili katika Uwanja wa Ndege Kisiwani Pemba jioni,31-12-2018, kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kushiriki Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa yatakayofanyika kesho katika Uwanja wa Gombani
Rais wa Zanzibar amefungua Skuli ya Msingi Chimba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizungua Skuli ya Msingi Chimba Shehia ya Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba akiongozana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akielekea katika majengo ya Madarasa kwa ajili ya Uzinduzi wake ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Chimba, Shehia ya Chimba ikiwa katika shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Wazee wa Shehia ya Chimba Wilaya Micheweni Kisiwani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia Wananchi katika sherehe za shamra shamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wa Shehia ya Chimba wakifuatilia Hutuba ya Ufunguzi wa Skuli ya Msingi Chimba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo,ikiwa ni maadhimisho ya sherehe za shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Shehia ya Chimba, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya Chimba, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Shehia ya Chimba Wilaya ya Michewni Kisiwani Pemba
Wanafunzi Hairat Ali Omar na Rehema Haji Bakari wakisoma Utenzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Mshini ya Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa sherehe za shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua moja ya Madarasa ya Mskuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba Shehia ya Chimba, akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya uzinduzi wa Skuli hiyo uliofanyika leo.1-1-2019, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wa Wilaya ya Micheweni Shehia ya Chimba, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi Chimba, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar