State House Blog

Dk.Shein,azungumza na Mfalme wa Dubei,wafanyabiashara,atembelea Bandari ya Jebel Ali Port.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki,kushushia na kupakiilia mizigo katika meli.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai, akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Nakheel Sanjey Machand.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akuuliza jambo wakati alipotembelea Bandari ya Kisasa ya Dubai ya Jebel Ali Port and Free Zone, akiwa katika chumba cha mitambo ya Kieletroniki huendesha mashine za kushushia na kupakilia makontena katika meli zinazofika katika bandari hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari hiyo, akiwa katika chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kieletroniki, kushushia na kupakiilia mizigo katika meli.
  • MFALME Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Prisedent, Prime Minister anda Ruler of Dubai, akiwa na Mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mfalme Shaikh. Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Dubai akiwa katika ziara yake katika Nchi za UAE.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali. Mohamed Shein, Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, wakibadilisha mawazo na CEO na Rais Shirika la Ndege la Emirates Airline Sheikh.Ahmed Bin Saeed Al Makhtoum,baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa makaazi ya Mfame Nchini Dubai.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi ya Mfalme huyo Nchini Dubai akiendelea na ziara yake ya kiserikali katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, pamoja na wajumbe mbali mbali aliofuatana nao wakiwa katikapicha ya pamoja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wake akizungumza na Wafanyabiasha wa Umoja wa Nchini za Falme za Kiarabu UAE (Business Community Chamber of Commerce Dubai) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa jengo la jumuiya hiyo Dubai.
  • MUONEKANO wa eneo la mizigo la bandari ya Jebel Ali Port Free Zone Dubai hutoa huduma za kupakia na kushusha mizigo katika bandari hiyo inayotumia mitambo ya kisasa Nchini Dubai
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai akitowa maelezo ya picha za muonekano wa Bandari hiyo inayotoa huduma za kupakia mizigo na kushusha wkati alipofanya ziara katika bandari hiyo Nchini Dubai.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Kampuni ya Nakheel New City Development and Paml Jumeirah Project Dubai Sanjey Machanda wakielekea kupanda boti kutembelea ujenzi wa Mradi huo katika ufukwe wa bahari ya Dubai.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
  • WAFANYAKAZI wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone wakiwa katika chumba maalum wakiendesha mitambo ya kielotroniki kwa kushushia na kupakilia mizigo katika Meli zinazofika katika bandari hiyo Nchini Dubai.
  • MFANYAKAZI wa Kampuni ya Nakheel New City Development Paml Jumeirah Projent akitowa maele za picha ya Mradi huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali z Mohamed Shein,akitembelea Mradi akiwa katika boti.

Dk.Shein azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi. kulia Balozi wa Tanzania Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mbarouk Nossor Mbarouk.
  • Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)akimtambulisha Mtoto Aaliyah Al Mansoori kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohahed Shein, wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mwenyeji wake , Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE), baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)wakiwa katika ukumbi wa makadhi ya Kiongozi huyo Nchini Abu Dhabi.
  • VIONGOZI wa Ngazi za juu wa Serikali ya Abu Dhabi wakihudhuria hafla hiyo katika ukumbi wa makaazi wa Mfalme wakati wa mkutano huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) wakitoka katika Jumba la Kiongozi huyo baada ya kumaliza mazungumzo yao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya Kiongozi hiyo Nchini Abu Dhabi.

Dk.Shein Awasili Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu kwa kuaza ziara yake

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kiongozi wa Ngazi za Juu wa nchi za Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu( UAE) Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai kuaza ziara yake ya Wiki moja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kiongozi wa Juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi,alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa Juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kiongozi wa ngazi za Juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai kuaza ziara yake ya Kiserikali ya Wiki moja. kushoto Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kiongozi wa Ngazi za Juu wa nchi za Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu( UAE) Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai, kuaza ziara yake ya wiki moja kulia ni Balozi wa Tanzania Katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Mke wa Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai

Dk.Shein ameondoka nchini kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,kabla ya kuaza ziara yake katika Nchi za Falme za Kiarabu wakiwa katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na UsaIama Zanzibar wakati wa kuondoa Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali katika Nchi za Falme za Nchi za Kiarabu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wazee wa CCM Zanzibar katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuaza ziara yake ya Wiki moja katika Nchi za Falma za Kiarab.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali katika Nchi za Falme za Kiarabu.

Dk.Shein atembelea eneo la Ujenzi wa Matenki ya Kuhifadhia Mafuta Mangapwani Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ahmeid Abdulrahaman Rashid, akitowa maelezo ya eneo linalotarajiwa kujengwa Matenki ya kuhifadhia Mafuta na Gesi, akionesha michoro ya eneo hilo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya VIGOR Tofiq Salim Turky akitowa maelezo ya Ujenzi wa Kiwanda cha Gesi katika eneo la Bumbwini wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar kutembelea eneo hilo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizunbgumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Salama Internation Refinery ,Abdallah Said Abdallah, akielezea ujenzi wa Kiwanda cha Kusafishia Mafuta Zanzibar kinachojengwa katika eneo la Mangapwani Zanzibar kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa ZURA Haji Kali Haji alipokuwa akimuonesha maeneo yaliotengwa kwa ajili ya ujenzi wa matenki ya Mafuta Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B Unguja. akipata maelezo ya Mradi huo.