State House Blog

Uzinduzi wa Studio Mpya za ZBC Mnazi mmoja Zanzibar,

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Studio ya Kisasa ya Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Mapinduzi kutimia Miaka 54.
  • MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC ) Aiman Duwe, akifanya mahojiano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya uzinduzi wa Studio Mpya za ZBC Mnazi mmoja Zanzibar, ikiwa ni ktika shamrashamra za kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • Waziri wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo akitowa maelezo ya vifaa vipya ilivyofungwa katika Studio hizo wakati wa ufunguzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza wakiwa katika Studio ya kurikodia katika jengo la ZBC.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Studio Mpya za Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) mnazi mmoja Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC ) Aiman Duwe, akifanya mahojiano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya uzinduzi wa Studio Mpya za ZBC Mnazi mmoja Zanzibar, ikiwa ni ktika shamrashamra za kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC Aiman Duwe akitowa maelezo wakati wa kutembelea Studio ya kurikodia baada ya uzinduzi huo, uliofanyika katika jengo la ZBC mnazi mmoja Zanzibar
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Bi.Radhia Rashid Haroub, akitowa Taarifa ya Kitaalam ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa , wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo ikiwa na shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Aiman Duwe akitowa maelezo ya picha za mitambuo mbalimbali ya Studio hizo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akitembelea jengo hilo kujionea mitambo hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
  • BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka, katika viwanja vya Fuoni Mambosasa.
  • Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC

Ufunguzi wa Soko Jipya la Kisasa Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • JENGO jipya la Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu, Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama, alipowasili katika viwanja vya kinyasini kwa ajili ya ufunguzi wa Soko Jipya la Kisasa Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskanizi Unguja wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskanizi Unguja wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Dk. Shein, kuzungumza na Wananchi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohammed wakati wa hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kai Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,wakati wa hafla hiyo
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu. Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Soko katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo Maliasini na Uvuvi Joseph Abdallah Meza akitowa maelezo ya kitaalamu ya Ujenzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi kusherehekea miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Soko hilo baada ya kulifungua na akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mfugo Maliasili na Uvuvi Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkandarasi wa Ujenzi wa Soko hilo Ali Mbarouk,akitowa maelezo wakati wa uzinduzi wake kutembelea jengo hilo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mtoto Msikia Rajab Ali aliyeandaliwa kwa ajili ya hafla hiyo ya uzinduzi wa Soko jipya la kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja kulia Waziri wa Kilimo Mifungo Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohamed na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu. Mhe. Jenista Mhagama
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu Waziri wa Kilimo Mifugo Maliasili na Uvuvi Joseph Abdallah Meza,alipowasili katika viwanja vya Kinyasini kwa ajili ya ufunguzi wa Soko Jipya la Kisasa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Kisasa la Kinyasini Unguja.

Dk.Shein,akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake

  • RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu, alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga rasmin kwa kumaliza muda wake wa Kazi BOT, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu na maofisa wa BOT aliofuatana nao
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu.

Uzindua wa umeme katika kisiwa cha Fundo kilichopo Jimbo la Gando Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umeme.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Maji Ardhi Mazingira na Nishati Mhe. Salama About Talib alipowasili katika Kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme
  • Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
  • WANAFUNZI wa Madrasatul Hidaya Islamia ya Tumbe wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya uzinduzi wa Umeme
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
  • Baadhi ya wananchi aliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
  • Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
  • Baadhi ya wananchi aliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kipazia kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho .
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme

Ufunguzi wa soko jipya laTtibirizi Chakechake Pemba.

  • Jengo la Soko Jipya la mbogamboga na samaki katika eneo chakechake Tibirinzi kama ;linavyoonekana pichani wakati wa hafla ya uzinduzi wake wakati wa sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Chakechake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Chakechake Pemba, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za maadhimishi ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wajengo la Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba.
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Soko Jipya la wafanyabiashara wa Chakechake katika eneo la Tibirizi, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirini Chakechake Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifungo na Uvuvi.Mhe. Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika viwanja vya Soko la Tibirizi kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha miaka 54
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo pamoja na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohammed kabla ya kulifungua rasmin, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo hilo la soko chakechake Pemba
  • MKADARASI wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.