State House Blog

Hafla ya Chakula cha usiku aliowaandalia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes

  • KOCHA Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco,akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati wa hafla maalumu ilioandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
  • Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakifurahia ushindi wao wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Nahodha wa Timu hiyo Suleiman Kassim Selembe, wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar kuwazawadi zawadi wachezaji hao katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Kikwajuni
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheki Kocha Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni Tatu Nahodha Timu ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe, wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Abdulazizi Makame, wakati wa hafla ya chakula cha usiku katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni
  • WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakipata chakula wakati wa hafla ya chakula cha usiku wakati wakifurahia ushindi wao kilichoandaliwa kwa ajili yao
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa hafla ya Chakula cha usiku aliowaandalia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes, iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni na kuwazawadia Fedha na Viwanja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakipata chakula kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya chakula maalum na kuwazawadia wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Abdulazizi Makame, wakati wa hafla ya chakula cha usiku katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni.

Chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco kwa jitihada zake alizoonesha kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya.
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaa wake katika michuano ya Kombe la Chalenji
  • KOCHA Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroco akitowa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu
  • VIONGOZIN wa Timu ya Zanzibar Heroes wakijumuika katika chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaha wake katika michuano ya Kombe la Chalenji.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar, baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao Ikulu Zanzibar
  • Raiswa nzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiompongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Morocokwa kwa jitihada zake alizoonesh kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakimsikiliza kwa umakini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Dk.Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake kwa wachezaji na viongozi wao,baada ya kuwa kwa ushujaha na kupata ushindi wa pili katika michuano ya Kombe la Chalenji.

Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefunguliwa na RAIS wa Zanzibar na MBLM

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar lililoandaliwa na BAKIZA.kuwashirikisha Watunzi na Walimu wa kiswahili kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk. Mohammed Seif Khatib wakiangalia baadhi ya vitabu vya fasihi simulizi vilivyochapishwa na Mkuki na Nyota wakati wa Kongamano hilo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Dk.Mohammed Seif Khatib akiangalia baadhi ya vitabu vya fasihi simulizi vilivyochapishwa na Mkuki na Nyota wakati wa Kongamano hilo
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar.
  • Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni.
  • MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Aiman Duwe akitowa maelezo ya picha za mitambuo mbalimbali ya Studio hizo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akitembelea jengo hilo kujionea mitambo hiyo
  • BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa barabara ya Kijitoupele hadi Fuoni Mambosasa, wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka, katika viwanja vya Fuoni Mambosasa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
  • Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC

Mwenyekiti wa CCM Taifa afungua Mkutano Mkuu wa CCM wa tisa Dodoma

  • MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma
  • Viongozi wa Serikali na Chama wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia Mkutano Mkuu wa CCM wa Tisa wakati wa ufunguzi wake katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete wakifuatilia hutuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo leo Dodoma.
  • Wake wa Viongozi Wakuu wa Serikali wakiwa wamesimama wakati akiingia Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ua ufunguzi wake.
  • Wageni Waalikwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • MwenyekitiI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama ukiombwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • Wake wa Viongozi wakiwa wamesimama wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Skt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa CCM
  • Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume alipowasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kamati Kuu na Halmashari Kuu ya Taifa uliofanyika katika ukumbi wa whit house Dodoma.
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abduraham Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara.Philip Mangula wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa White House Dodoma kwa ajili ya mkutano huo.
  • Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa mkutano (*White House) *mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.(Picha Ikulu)
  • Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dkt John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa white house Dodoma.
  • Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.
  • WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakipitia makabrasha ya mkutano kabla ya kuaza kwa kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma.
  • Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na kuwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kumaliza muda wake.

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM

  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kamati Kuu na Halmashari Kuu ya Taifa uliofanyika katika ukumbi wa whit house Dodoma.
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abduraham Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara.Philip Mangula wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa White House Dodoma kwa ajili ya mkutano huo.
  • Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa mkutano (*White House) *mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.(Picha Ikulu)
  • Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dkt John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa white house Dodoma.
  • Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.
  • WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakipitia makabrasha ya mkutano kabla ya kuaza kwa kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma.
  • Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na kuwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kumaliza muda wake.