State House Blog

MAHFALI YA 19 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume(katikati) akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa na (kushoto) Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Ndg.Amour Salmin (katikati)kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi,Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji,Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Bi.Hamida Ahmed Mohamed na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Leila Mohamed Mussa wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) kabla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi leo alipoiwasili katika Ofisi za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Wahitmu wa Shahada ya Uuguzi na Ukunga ya chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wahitimu katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Wahitmu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Teknolojia ya Habari walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
  • Wahitmu wa fani mbali mbali wakiwa sherehe ya katika Mahfali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA NA KUUFUNGUA UWANJA WA MAAN ZANZIBAR IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, ufunguzi huo uliofanyika leo 27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, ufunguzi huo uliofanyika 27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Uwekaji wa Jiwe la msingi maegesho ya magari,Malindi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Zanzibar Komodore Azanna Hassan Msingiri pamoja na Viongozi wengine wakifuatana mara baada ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari ,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ili kuzungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa Akitoa hutuba yake kwa Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed, Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Ndg.Saidi Salim Hamadi, Maneja Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari Mtaa wa Malindi Wilaya ya Mjini katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi huo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia ratiba ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Ali.S.Ameir (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
  • Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg.Aboud Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa taarifa ya Kitaalam leo katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr Mhgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati akiwasili Viwanja vya Malindi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa maegesho ya magari leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Ali S. Ameir wakifungua pazia kwa pamoja kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Maradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari, Malindi Wilaya ya Mjini leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

CHAMA CHA WAJANE AFRICA

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma akiwa na Wajumbe wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu maandalizi ya kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wajane Tanzania (TAWIA) Ndg.Rose Sarwart na Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Ndg.Tabia Makame wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipoungana na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (kulia kwa Rais)akitoa maelezo kuhusu kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe aliofuatana nao leo.

Maadhimisho ya Siku ya Maadili na haki za Binadamu tarehe 19 Disemba,2023

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria ,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar yaliyohudhuriwa na Viongozi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali yta Mapinduzi
  • Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msanii Kirobo mara baada ya igizo lake leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi