Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) uliofika Ikulu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) uliofika Ikulu, Zanzibar leo tarehe…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema Watanzania wataendelea kumuenzi Lukuvi kwa Mchango wake wa Utumishi Nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Marehemu William Lukuvi kwa mchango wake wa utumishi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema Elimu ya Kidigitali ni Nguzo ya Maendeleo ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya FMSS Bilişim Teknolojia ya Uturuki, Ndugu Cihan Aktaş, pamoja…

Read More

Zanzibar kuendeleza Sekta ya Anga na Mageuzi ya Kidijitali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongoz i wa LIAONING FANGDA GROUP OF COMPANIES kutoka China, ukiongozwa na Mwenyekiti wake, Bw.…

Read More

Dkt. Mwinyi amekutana na Uongozi wa Kituo cha ZRCP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameushauri uongozi wa Kituo cha Tafiti za Kiuchumi, Kijamii na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kuandaa mikutano…

Read More