Alhaj Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Wanasiasa nchini kuyatumia Majukwaa ya Kampeni Kuhubiri Umoja na Mshikamano wa Wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Wanasiasa nchini kuyatumia Majukwaa ya Kampeni Kuhubiri Umoja na Mshikamano wa Wananchi.Alhaj…

Read More

Dkt.Mwinyi amesema Serikali ijayo itaweka Vipaumbele kwenye Chakula na Mafuta

Mgombea wa Urais kupitia CCM Zanzibar, ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ijayo itaweka kipaumbele kwenye ujenzi wa…

Read More

Madhehebu ya dini yana mchango mkubwa kwa Serikali katika juhudi za kudumisha amani na utulivu wa Taifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema madhehebu ya dini yana mchango mkubwa kwa Serikali katika juhudi za kudumisha amani na utulivu wa…

Read More

Rais Mwinyi amezindua Sera ya Nishati na Mpango Mkuu wa Umeme Zanzibar 2025–2040

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kuweka mikakati thabiti ya kisera ili kuhakikisha Zanzibar inapata nishati ya…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane ni kufanya Mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga Viwanja vya Kisasa ili kuibua Vipaji na kufundisha Wataalamu wa michezo mbalimbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema lengo kuu la Serikali ya Awamu ya nane ni kufanya Mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga Viwanja…

Read More

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema mwenendo wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi unatoa taswira ya ushindi na kukubalika kwa Chama hicho na Watanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema mwenendo wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi unatoa…

Read More