Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Media
» News and Events
Balozi wa Indonesia akutana na Rais wa Zanzibar Dk.Shein.
27 Aug 2012
News and Events
194
Media
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kwa Kanda ya Afrika, Profesa. Mohamed Yakub Janabi, Ikulu Zanzibar.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kuhakikisha mafanikio zaidi yanapatikana katika kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakili Zanzibar Wakili Joseph Shaban Magazi, waliomtembelea Ikulu, Zanzibar.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali inathamini na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na taasisi hiyo ya kuwasaidia wananchi katika masuala ya kisheria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaoenda kuiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali Ulimwenguni na k
Rais Dkt. Mwinyi amewasisitiza Mabalozi kukuza Diplomasia ya Uchumi Kimataifa.
Rais Dkt. Mwinyi ameongoza Dua ya kumuenzi Hayati Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki pamoja na viongozi wa kitaifa, wanafamilia na wananchi mbalimbali katika dua maalum ya kumuombea
Alhaj Dkt.Hussein Mwinyi,amejumuika na wanafamilia, Viongozi wa Serikali katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanziba mara baada ya kuwasili katika Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mangapwani
Leave this field blank
Subscribe to RSS Feeds
Get all latest content delivered to your email a few times a month.
English
Swahili