Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akishikana mikono na Viongozi wa Serikali pamoja na Jumuiya ya Wafanyakazi wakati wakiimba wimbo wa mshikamano kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akishikana mikono na Viongozi wa Serikali pamoja na Jumuiya ya Wafanyakazi wakati wakiimba wimbo wa mshikamano katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Zanzibar katika viwanja vya Maonyesho Dole Wilaya ya magharibi "A " Unguja.