News and Events

Zanzibar imefungua Milango ya Fursa za Biashara na Uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema, Zanzibar imefungua milango wazi kwa fursa za biashara na uwekezaji na tayari imewakaribisha wadau mbalimbali…

Read More

Dk. Mwinyi amewahimiza Viongozi wa Dini kuendelea kuhubiri Amani ya Nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Viongozi, mashekhe na Waumini wa dini ya kiislamu kuendelea kuhubiri Amani Maadili na tabia njema…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, itaendelea kukuza mazingira rafiki ya Biashara na Uwekezaji na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato,kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha kwa Wawekezaji.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji pamoja na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kusimamia hifadhi za barabara na kuwazuia wananchi kutojenga na kufanya biashara maeneo hayo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kusimamia hifadhi za barabara na kuwazuia wananchi kutojenga na…

Read More