Rais Mwinyi amesema SMZ kujenga Kiwanja Kipya Cha Mpira wa miguu kwa ajili ya Afcon.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na ziara ya kikazi nchini China ambapo leo amekutana na kampuni mbalimbali zinazolenga kuwekeza…
Read More