News and Events

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitahadharisha jamii kuendelea kuitunza amani na mshikamano uliopo na kuendelea kujenga maendeleo ya nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitahadharisha jamii kuendelea kuitunza amani na mshikamano uliopo na kuendelea kujenga maendeleo ya nchi.Amesisitiza…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameipongeza na kuishukuru taasisi ya “Merck Foundation”  kwa uamuzi wao wakuichagua Tanzania kuweka Mkutano wao wa 11

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameipongeza na kuishukuru taasisi ya “Merck Foundation” kwa uamuzi wao wakuichagua Tanzania kuweka Mkutano wao wa 11 ambao umedhihirisha wazi…

Read More

.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini ya Familia Duniani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini…

Read More

Zanzibar kuwa kituo cha Biashara cha Kimataifaidara.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi Wazanzibari kuibadili Zanzibar kuwa kituo bora cha biashara cha kimataifa kwa kutoa fursa za mwingiliano…

Read More