News and Events

Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na kuwataka kuendelea kuiombea nchi amani.Hafla hiyo ya futari iliyoandaliwa… Read More

Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba na kueleza kwamba kitendo cha kufutarisha ni utamaduni uliopo wa viongozi… Read More