News and Events

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewaahidi Wanzanzibari kuwapunguzia umasikini kabla ya mwaka 2025 kwa kuwaongezea miradi mikubwa ya maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewaahidi Wanzanzibari kuwapunguzia umasikini kabla ya mwaka 2025 kwa kuwaongezea miradi mikubwa ya maendeleo.Amesema, amekusudia kuikamilisha… Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema jukumu la kuilinda na kuitunza amani ya nchi ni la kila mwananchi kwa ngazi zote za jamii na wala sio la Serikali peke yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema jukumu la kuilinda na kuitunza amani ya nchi ni la kila mwananchi kwa ngazi zote za jamii na wala sio la Serikali peke… Read More