News and Events

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya kulibadilisha eneo la Dimani kua la biashara la Kimataifa na kubadili taswira halisi ya eneo hilo kuwa la mvuto wa uwekezaji

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya kulibadilisha eneo la Dimani kua la biashara la Kimataifa na kubadili taswira halisi ya eneo hilo kuwa la mvuto wa uwekezaji.Rais wa Zanzibar…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Serikali anayoiongoza tayari imepita lengo la Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinzi (CCM) ya kutaka zijengwe barabara za kilomita 200 Unguja na Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Serikali anayoiongoza tayari imepita lengo la Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinzi (CCM) ya kutaka zijengwe…

Read More