News and Events

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi, ameshukuru ushirikiano wa karibu uliopo baina ya Tanzania hususani Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, ameshukuru ushirikiano wa karibu uliopo baina ya Tanzania hususani Zanzibar, na Benki ya Dunia (WB), Umoja wa Ulaya…

Read More