News and Events

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema jukumu la kuilinda na kuitunza amani ya nchi ni la kila mwananchi kwa ngazi zote za jamii na wala sio la Serikali peke yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema jukumu la kuilinda na kuitunza amani ya nchi ni la kila mwananchi kwa ngazi zote za jamii na wala…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendelea kuzuia na kudhibiti uvujaji fedha holela maeneo yote ya vyanzo vya mapato nchini ili kuboresha maendeleo kwa maslahi mapana ya nchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendelea kuzuia na kudhibiti uvujaji fedha holela maeneo yote ya vyanzo vya mapato nchini ili kuboresha…

Read More