News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametoa rai kwa wadau wa kilimo kuendelea kuliimarisha tamasha la Kilimo Hai liwe kubwa zaidi na endelevu ili kuwavutia watalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametoa rai kwa wadau wa kilimo kuendelea kuliimarisha tamasha la Kilimo Hai liwe kubwa zaidi na endelevu ili kuwavutia…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini. Dk. Mwinyi aliyasema hayo kwenye…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufuatia kuteuliwa kwao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufuatia kuteuliwa kwao na…

Read More