Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuhamasisha kilimo pamoja na kuunga mkono sekta ya Viwanda kwa kutambua kuwa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuhamasisha kilimo pamoja na kuunga mkono sekta ya Viwanda kwa kutambua kuwa ina mchango…
Read More