SMZ kuwafidia nyumba Bora wananchi watakaopisha Miradi ya Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha miradi ya maendeleo.Rais…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar na kueleza kuwa inaendelea kuwawekea mazingira…

Soma Zaidi

Rais Dkt.Samia asisitiza Nchi za SADC kumaliza Migogoro.

Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amezisisitiza nchi za Jumuiya…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Maungani Wilaya ya Magharibi B

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Maungani Wilaya ya Magharibi…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi ameipongeza Benki ya Stanbic kwa nia ya kutaka kufungua Tawi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amepongeza uamuzi wa Benki ya Stanbinc Tanzania wa kuwa na Tawi Zanzibar kwani kutaongeza idadi ya Benki na kurahisisha…

Soma Zaidi