Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr. Zhao Xiaojun wakati wa kuagana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr. Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar