RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa pamoja na Viongozi wengine leo alipowasili Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kushiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Marehemu Mgana Zidi Khamis