Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuipatia vyenzo zote zinazohitajika Skuli ya Sekondari Mtule ili wanafunzi waweze kupata elimu bora.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuipatia vyenzo zote zinazohitajika Skuli ya Sekondari Mtule ili wanafunzi…
Read More