Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA JUKWAA LA 13 LA BIASHARA ZANZIBAR LEO 12-10-2024
13 Oct 2024
News and Events
6
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Mkutano wa Jukwala la 13 la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar leo 12-10-2024
Media
SERIKALI ya Mapindizi ya Zanzibar imesema imeongeza bajeti ya Maendeleo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kutoka TZS bilioni 83.2 mwaka 2021/22 hadi kufikia TZS bilioni 518 mwaka 2024/2025.
Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitahadharisha jamii kuendelea kuitunza amani na mshikamano uliopo na kuendelea kujenga maendeleo ya nchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano 30 Oktoba, 2024 ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia Doha nchini Qatar.Mkutano huo
MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameipongeza na kuishukuru taasisi ya “Merck Foundation” kwa uamuzi wao wakuichagua Tanzania kuweka Mkutano wao wa 11
.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini ya Familia Duniani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ishara ya kulizindua soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki Tamasha la kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino N.Mweleli Shao C.s.s.p kwa utume wake na kuiombea amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na mama Mariam mwinyi akikata utepe wakati alipofungua soko jipya la ghorofa mbili la Mwanakwerekwe.
Zanzibar kuwa kituo cha Biashara cha Kimataifaidara.
Zanzibar imefungua Milango ya Fursa za Biashara na Uwekezaji
Leave this field blank
Subscribe to RSS Feeds
Get all latest content delivered to your email a few times a month.
English
Swahili