Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa 13/01/2023.